ManSing Naposema Video
ManSing From tanzania hanakuja na video yake ya mpya imetengenezwa
hapo Burundi Bujumbura na producer anaitwa Kent-P from House Base HD
Production.
Video inaitwa Naposema record yake imefanyiwa hapo tanzania studio inaitwa One Time Production.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire